Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 14, 2021

SOMO:MADHARA YA UZAZI WA MPANGO

SOMO:MADHARA YA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO Mithali;9;9 Naitwa Mwalimu wa Wanandoa(Pastor Richard WhatsApp number+255759861768 Watu wengi hutumia Uzazi wa MPANGO Pasipokujua au Kupewa Elimu ya Athari na MADHARA Ambayo hujitokeza Karibu ujifunze MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA  (1) Usumbufu hedhi  (2) Kuumwa kichwa mara mara (3) Kizungu zungu  (4) Kichefu chefu  (5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida. MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA  (1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndan  (2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga  (3) Kuumwa kichw mara mara (4) Kupata kichefu chefu  (5) Kutopata hedhi kwa baadh ya wanawake  (6) Kubadilisha mwenendo wa dam  (7) Kuliathir ini kidogo kidogo (8) Kupata kisukari (9) Kupata ugonjwa wa moyo 10) Kupooza upande mmoja wa mwili. MADHARA YA KITANZI (1) utokaji ovyo wa damu (2)Kutoboka fuko la uzazi (3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa ...