Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 28, 2023

SOMO:MJUE MTU ALIYEFUNGWA NA Maroho Bila KUJUA

SOMO: MJUE MTU ALIYEFUNGWA NA Maroho Bila KUJUA.  Karibu katika Somo hili uweze kujitambua namna ya kushughulikia roho zinazokutumikisha Katika Ulimwengu wa roho bila wewe Kujua au Kutambua kama unateswa na roho. Somo hili unaruhusiwa kushare nakuwafundisha wegine. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp inbox +255759861768 TUSOME MISTARI HII Mithali 1:7 [7]Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.  1 Wakorintho 12:7 [7]Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.  👇👇👇👇👇👇👇👇👇 Nitaenda Kuongelea Vifungo na Pepo linalosababisha hilo tatizo ili kukusaindia kujua ushughulike vipi unapojifungua au kuomba. KUNA WATU MAPEPO YAO YANAWATUMIKISHA KULA VITU VIFATAVYO:_ _________^^^^^^^_______^^^^^^^_____ 1:KULA UNDOGO WOWOTE =Jini nyoka Ukiona unakula undogo unapepo la nyoka kemea. 2.KULA MKAA= Jini Cheketu. Ukiona mtu anakula mkaa anapepo hili linamtumikisha Kemea. 3.KULA NGODORO= Jini la Uvuvi. Ukio...

SOMO:ROHO MTAKATIFU

SOMO: ROHO MTAKATIFU  Roho Mtakatifu Ni Nani..? Ni mshirika wa tatu wa Uungu unaowakilisha Nafsi Ya Mungu. Yeye ni Sawa na Mungu Baba Yeye ni Msaindizi wako katika maisha yako ya Wokovu. Roho Mtakatifu Siyo Nafsi Tu ni Nafsi ya Ki Mungu. Huitwa Mungu mwenyewe.       Karibu Somo hili Linaletwa na Pastor Richard Kwa Msaanda Wa Roho Mtakatifu. Nipo Morogoro Veta Dakawa  WhatsApp +255759861768. A.ROHO MTAKATIFU ANAZO SIFA AMBAZO NI MUNGU PEKEE NDIYO MWENYE SIFA HIZO. 1.Ana Sifa ya Umilele Hafi Wala Hazikwi. Ebrania;9:14 Soma. 2.Ana Sifa ya Kuwa Kila Mahali Kwa Wakati Mmoja Dakika Moja Anaweza akawa Arusha Dar Na Zanzibar Kwa muda mmoja akihudumia watu. Zaburi:139:7-10 soma 3.Ana Sifa Ya Kufahamu Yote Hadi mawazo Yetu Nia Zetu 1Koritho:2:10-11 Soma  4.Anaweza Yote. Kila Kitu Anaweza Kukifanya chochote kile. Luka:1:35 Soma 5; Hushirikishwa Majukumu Sawa na Baba na Mwana Katika Utendaji Kazi. Mathayo;28:19 Soma 6.Alishiriki Katika Mpango wa Ukombozi wa Mwanad...