Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 28, 2022

MAOMBI YA KUBOMOA MADHABAHU YA KALE

MAOMBI NA MAELEKEZO YA KUJIONDOA KWENYE MADHABAHU ZA KALE.AU WENYEJI. Madhabahu za kale Ni tabia ulizokuwa nazo kabla hujafika Veta Dakawa Ukafundishwe Nini maana Ya Madhabahu Ni Mahusiano Yako Kati ya Mungu na mwanadamu au shetani Neno la Kusimamia Kutoka 34:13 [13]Bali utabomoa madhabahu zao, na kuvunja-vunja nguzo zao, na kuyakata-kata maashera yao. MADHABAHU ZA KALE 1:Wizi wa Fungu la Kumi umejua umhimu wa zaka lakini hutoi kisa huna kazi au Mungu Hajibu kwa Wakati anachelewa. ¶Hiyo Ni Madhabahu inayoshikiria hatua zako 2.KUENDELEA KUZINI WAKATI UMETOKA HUKU UKAFUNDISHWA MADHARA YA KUZINI ¶Hiyo Ni Madhabahu Ambayo unaifanya ikushirikilie  usivuke. 3.KUKATA TAMAA AU KUNUG,UNIKA ETI MUNGU HAJATENDA. Sasa wewe unataka Madhabahu ngani itapeleka mbele za Mungu au Mungu ngani wa kukata Tamaa maana Yeye Amesema Usihofu wewe Unakuwa na hofu nae na pia hata Tabia zako zinamhubiri shetani Ni ngumu kumshawi Mungu ATENDE kwa mtu aliyekata Tamaa. ¶Hiyo Ni Madhabah...

MAREKEBISHO YA KATIBA

IBARA YA 8; MUUNDO  WA KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA Katika Huduma hii ya Holy Spirit Ministry Tanzania Kutakuwa na Uongozi wa ngazi ya Juu Taifa na Uongozi wa ngazi za chini. Itaundwa Kama ifatavyo;- a)Uongozi wa Juu Taifa Makao Makuu zitakapokuwepo Utaundwa na-: I) MWENYEKITI TAIFA II)KATIBU TAIFA III) MHAZINI TAIFA IV) Bondi Ya Wadhamini b)Uongozi ngazi ya chini Ngazi ya Kata ,Wilaya ,na Mkoa Itaundwa na ;- I) MWENYEKITI II) KATIBU III) MHAZINI IBARA YA;9; WAJIBU NA VYEO VYA UONGOZI 1:AINA YA UONGOZI a)Bondi Ya Wadhamini b) MWENYEKITI TAIFA c)KATIBU TAIFA d) MHAZINI TAIFA e)MWENYEKITI MKOA d) KATIBU MKOA e) MHAZINI MKOA f) MWENYEKITI WILAYA g) KATIBU WILAYA h)MHAZINI WILAYA I)MWENYEKI KATA j)KATIBU KATA k) MHAZINI KATA 2:SIFA ZA KIONGOZI. Kiongozi atapatikana kwa kuangalia Sifa zifatazo ;- 1:Awe Ameokoka Yaani Mwanafunzi wa Yesu( 1Timotheo;3;6) 2:Awe na Tabia Njema Kwenye Jamii (Yakobo;3;1-12) 3;Awe mtu mwenye kujitoa,Kujali, Kuhudumia ...