Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 30, 2020

SOMO; JIFUNZE KUNASUA MITENGO

✍️👊SOMO👊 JIFUNZE KUNASUA MITENGO YA MAJINI WALIOKUFUNGA KICHAWI✍️👊 Vitabu;Mathayo;25:43-45 Luka;13;16 Mwanzo;40;4  Zaburi;142;7 ✍️✍️Karibu Mwanangu Popote Ulipo Unayenifatilia katika Kurasa Zangu Leo Naitaji Ujue Jinsi ya Kutoka Kwenye Vifungo vilivyokufunga Naitwa Pastor Richard Ninaishi Morogoro Veta Dakawa Ni Askofu wa makanisa ya Moto wa Yesu (Holy Spirit Ministry Tanzania) Makao makuu Morogoro Simu za Maombezi+255759861768 Jioni saa;12;00-8;00 Usiku Nitaanza Kuongelea Watu wanaokuwa Matasa Hawazai Jinsi Adui Anavyowafunga Cha Kwanza Uzigatie Haya ukiwa Unanusua MITENGO Yao ya kichawi Kupitia Majini 1;Uwe Na Imani 2;Uwe Upo vizuri kiroho 3;Uwe na ufahamu Juu ya Tatizo 4:Uwe na nguvu ya Roho Mtakatifu 5;Tumia Jina la Yesu Katika Minyororo Yote. Wachawi Huwa hawawezi Kukufunga au Kukutesa Bila Majini au roho za Majini Na Majini huwa Ni roho zinazoweza kukuingia nakukuvaa endapo hujasimama vizuri Ki...