SOMO: MAMBO MATATU YA KUFANYA KWA MCHUMBA WAKO
SOMO: MAMBO MATATU MHIMU UNAYOPASWA UYAFANYE KWA MCHUMBA WAKO WEWE KAMA MWANAMKE. Mithali 12:1-5 [1]Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. [2]Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. [3]Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. [4]Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake. [5]Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa. Naitwa Mwalimu wa Wanandoa (Pastor Richard 1:USIMTENGEMEE WALA KUOMBA OMBA KWAKE. Wewe Kama Mwanamke Unapokuwa na Mchumba wako Usiaze kumuomba hela Vocha Kumuomba Pesa Akuhudumie au Umbebeshe majukumu Yako Bado Akiwa Hajulikani Nyumbani Au Hafahamiki Ni rahisi Sana Kudharirisha Ubint wako kwa Kuwa unatengemea Mwanamme au mchumba wako. 2:MWAMINI MCHUMBA WAKO NA USIJENGE HOFU NAE. Futa Mtazamo wa Kutokumwamini mchumba wake Kutokuaminiana husababisha uhusiano uvunjike na Wanaume ...