SOMO: YAJUE MADHARA YA KIAFYA YANAYOWEZA KUKUPATA UKIFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD
SOMO: YAJUE MADHARA YATAKAYOKUPA UKIFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD (HEDHI) Tufunue Luka:5:31 Yeremia:33;6 KUNA WATU WAMEKUWA WAKIITAJI WAFUNDISHWE MADHARA YA KIAFYA YANAYOWEZA MTU KUMKUTA ANAE FANYA TENDO LA NDOA NA MKEWE AKIWA KWENYE SIKU ZAKE EIDHA KWA TAMAA ZAKE ZA KIGONO NA ASIJUE AFYA YAKE ANAIHARIBU KARIBU NAITWA PASTOR RICHARD MWALIMU wa WANANDOA TUOGEE +18 Hairusiwi Mwenye umri chini ya miaka 18 Kusoma Masomo haya ya Wanandoa Nifatilie WhatsApp number+25575981768 Facebook Kanisa la Moto wa Yesu Website www.mchungajirichardi.blogspot.com Mithali : Mlango 3 8 Itakuwa afya mwilini pako, MADHARA MWANAUME ANAYOYAPATA 1:Kuzimba Kwa Mirinja Ya Uume wake inayotoa Mbegu za Kuume hata kibofu cha mkojo wakati akikonjoa atahisi maumivu makali. 2:Kuishiwa nguvu za Kiume na Uwezo wa Uume wake Kusimama. 3:Kuambukizwa Magonjwa mbalimbali Kwa haraka Sana Kutokana Kufanya Tendo la Ndoa Katika Piriod 4: Kufanya Kukizi Tamaa Yako Lakini Itakufanya UKIFANYA Tendo la Ndoa Katika Siku zake...