Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 21, 2020

SOMO: UMHIMU WA MUDA KWA MWEZI WAKO

✍️✍️SOMO: UMHIMU WA KUWA NA MUDA NA MAWASILIANO KWA MMEO/MKEO✍️✍️✍️Chukua Hii Ufurahie ndoa Yako. ✍️✍️DARASA LA WANANDOA ✍️✍️MWAL; PASTOR RICHARD ✍️✍️Simu+255759861768 Mithali;14;1-2 Waefeso;5;21-24 MUDA na MAWASILIANO ni vitu ambavyo vinahitajika Sana kwenye mahusiano Kati MWANAUME na Mwanamke hata Kama mnaishi mbalimbali au nyumba Moja Muda wako kukaa kwa ajili umpendae au Kuongea na kuwasiliana Ni Mambo yanayoweka hai mahusiano Yenu. ~MUDA utakufanya umfahamu vyema mwenzio ikiwemo kipi anapenda na kip hapend ~MAWASILIANO yatakuweka Karibu nae haijalishi mna umbali kiasi gani uwepo wako utaonekana, pia ktk mawasiliano jengeni muda wa kuongelea mahusiano yenu na yale msiyopenda yatendeke baina yenu TUMIA MANENO HAYA MATAMU KUJENGA MAHUSIANO YA FURAHA NA AMANI 1. NAKUPENDA~Weka hisia zako wazi haijalishi mmekuwa kwenye mahusiano kwa muda...