SOMO: MADHABAHU Part 4
SOMO: AGANO LA MADHABAHU YA MUNGU. part 4 Warumi;11:3 Kutoka;29:16, 1samweli:2:33 Yoshua;22:29 👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿 Karibuni Mwendelezo wa UJEZI wa MADHABAHU Leo Tuagazie Jinsi yakuweka Agano na Madhabahu Za Mungu ndani Yetu. Mtu Yoyote anayetaka Madhabahu Yake na Mungu idumu anapaswa aweke agano na Tabia za Kimungu nakutembea na Mungu mwenyewe. Gharama za Agano la Madhabahu yakimungu ndani yako 1:Mkiri Bwana Yesu Awe mwokozi wako 2:Amua Kutoka Madhabahu ya Baba zako uende Madhabahu aliyokupa Mungu. 3:Mungu Kumtengemea Katika Kil...