Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 29, 2022

SOMO: MILANGO MITANO YAKULIFANYA TATIZO LISIISHE HATA UKIOMBEWA.

SOMO: MILANGO MITANO YAKULIFANYA TATIZO LISIISHE HATA UKIOMBEWA. Karibu Tuone Malango Ya Adui anayoingilia kukutesa na kukupelekesha katika utumwa Viondoe hivi ili Upone kabisa  Kuna Watu Matatizo hayaishi au Hawafunguliwi kwa sababu Wamefanyika kuwa lango la kutokufunguliwa kupitia vitu kama hivi nilivyovitaja hapa katika somo tunaloenda kujifunza Naitwa Pastor Richard 🙌 Morogoro  🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝 1:UCHUNGU NA MAUMIVU NDANI YA MOYO. Hii huwa hali inamtokea mtu baada ya kutendewa jambo siyo nzuri au kuhisi Ameonewa  Tunamuona Essau anaingiwa na uchungu baada ya Kuona Yakobo Anabarikiwa na Baba Yake Yeye asibarikiwe. Tusome Maandiko; Mwanzo;26:35, 27:34 Isaya:38:17, Warumi:3:14,Waefeso,4:31 2:KUKATA TAMAA NA MANUG,UNIKO. Hii hali huwa ni mtu anakuwa amepoteza Tumaini Na Mungu wake hali inayomfanya mtu aanze manug,uniko. NI LANGO kubwa lakukufanya uteseke kupitia lango. Tusome: Muhubiri; 2;20 Isaya;15:5 3:KUZINI AU KUISHI MAZINGIRA YA UZINIFU. Kuzini huwa ni la...