NJISI MUNGU ALIVYOPANGILIA MAISHA YAKO
WALAWI.13 YEREMIA. 1;5 1:HATUA YA KWAN ZA Kuzaliwa MUNGU alipanga uzaliwe na uje hapa duniani Uishi na kumwabudu yeye NA kumtumikia . 2; HATUA YA PILI .ALipangilia mtiriri ko utakaouishi na kupitia mpaka kufika alipokuandalia Mapito yote aliweka 3: Hatua ya Tatu Alipangilia majaribu na mawazo vish awishi ambavyo hutakiwa ushinde na Kusonga mbele sio ukate tamaa 4; Hatua Ya NNE Alipangilia ukombozi wako Mtumishi atakayekulea kiroho na imani utakayo kudumisha kwake 5; Hatua Ya Tano Alipangilia viungo ufahamu na vitu mbali mbali akakupa uwezo uvitumie vyema lakini ukikosea vinakupoteza na kukutenga naye 6; Hatua Ya Sita Alipangilia NJEMA na Mbaya akakuelewesha kuwa mema ni yangu utendapo mema unanitukuza Mimi ukitenda maovu unamtukuza shetani kaa utumie akili na viungo nilivyokupa akamaliza . 7; Hatua Ya SABA Alipangilia kuamini na kutoamini Aka...