Faida ya Kufunga
SOMO;KWANINI NAKUAMBIA KILA IJUMAA UFUNGE Karibu Kama Wewe Ni Mkrusto Usiyejua umhimu au Faida za Maombi yakufunga Kibiblia Twende Darasani Nikufundushe Jinsi unavyojiweka Connection na MUNGU. Mwalimu Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa Kanisa la Huduma ya Roho Mtakatifu Tovoti;www.mchungajirichardi.blogspot.com 1.maombi ya kufunga yanaweza kutufanya kuongezeka kiimani Mathayo 17:21" Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga" 2.Hufungua/Huachilia macho ya ndani kuona vizuri Zaburi 119:18" unifumbue macho yangu yatazame Maajabu yatokanayo katika Sheria yako" 3.Huachilia mwili kutiishwa, Wakolosai 3:5 "Kwa ajir ya mambo hayo huja ghadhabu ya MUNGU" 1Thesalonike 5:17 " shukrani kwa kila Jambo maaña hayo ni mapenzi ya MUNGU kwenu katika Kristo Yesu " Marko 11:24 "kwa sababu hiyo nawaambia yo yote myaombayo mkisali kwamba mnayapokea nayo yatakuwa yenu" 4.Huachilia kupokea ahadi ya MUNGU na Màombi kujibiwa,...