Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 18, 2020

SOMO;YAJUE MAKUNDI YA KUEPUKA USITEMBEE NAYO

✍️✍️SOMO ✍️WAJUE WATU WA KUWAEPUKA KABISA USIWE NAO KARIBU AU KUISHI NAO. Tufunue Biblia Zetu Tusome Vitabu hivi 👉👉 Mithali;13:14, Mithali:14:27,Ayubu;1:1-8 Ayubu:2;8 ✍️✍️UTANGULIZI✍️✍️ Katika Jamii au Marafiki au Watu waliokuzunguka Inakupasa Ukitaka Ufanikiwe Utembee Na Uwe Vizuri Kiroho Kuna Watu Unapaswa uwaepuke na Ukae Mbali nao Ili Kuponya Nafsi Yako Na Kukujibu katika mambi Yako Kuna wakati hufanikiwi kutokana Campani ya Marafiki ulionao katika kuwaomba ushauri kutembea nao. Karibu Naitwa Pastor Richard Ujifunze watu sahihi utakaotembea nao kina Elisha kina Yoshua utawajuaje waliosahihi na Kinadelila ambao SI sahihi kina Yuda au Petro uwajue kina Paulo Abinengo shadrack. ✍️✍️✍️LENGO La SOMO UPONE uwe mshindi. ✍️✍️✍️WATU WA HIVI WENYE KAULI HIZI WAEPUKE✍️ A)Kundi la Kwanza Watu...

SOMO:EPUKA WATU HAWA KUANZISHA UHUSIANO NAO

✍️✍️ SOMO;WATU WENYE KAULI HIZI WAEPUKE NI HATARI KATIKA NDOTO ZAKO NA MAISHA YAKO.✍️✍️ ✍️✍️Darasa la Wanandoa na Mahusiano Mithali;7;6-10 Kuna watu unapaswa uwaepuke na ukae nao Mbali ukiwa nao Hawa karibu watakufanya uishi maisha ya mahagaiko na mateso Tu Lakini ukiwaepuka Utajenga ndoa maisha mahusiano Yenye nguvu Nitaeleza Kauli 17 Hizi hazifai hata ukutane na watu Hawa wenye maneno au Kauli Hizi👇👇👇👇 Watu wa Aina hii huwa Hawana malengo au Kujifunza *Kauli 17 za mtu asiye na Malengo hukiri hivi 1)Sina mtaji 2)Sina Connection 3)Nitaanza rasmi kesho 4)Mimi ni wa hivihivi tu 5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma 6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo 7)Kupata ni majaliwa 8)Usilazimishe mambo 9)Kuna watu special siyo mimi. 10)Sina bahati 11) kupata si uhodari nami nitapata tu. 12) Mimi ni fungu la kukosa tu. 13) muda wan...

✍️✍️SOMO:WATU WA AINA HII WAEPUKE

✍️✍️SOMO: WATU WA AINA HIZI WAEPUKE Ni SUMU KATIKA MAISHA. Mathayo;5;42-45 Mathayo : Mlango 10 36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake 1. Watu wanaohoji kila kitu Watu wanaohoji kila kitu hutafuta njia ya kupinga na kukosoa kila unachokifanya. Utatumia muda mwingi kuwaelewesha lakini watasikia kwa sikio moja na swala hilo kutokea sikio la pili. Kujaribu kutafuta msaada na ushauri kutoka kwa watu wa aina hii ni kupoteza muda. Watu hawa huwa na maswali kama vile kwanini unafanya hivi? Unapoteza muda; si jambo zuri; la fulani liliharibika; nani kakuambia ufanye; nitapata nini mimi? hauwezi kufanikiwa kwenye hili labda tafuta jingine; linahitaji fedha nyingi mno n.k. 2. Wenye wivu Safari ya mafanikio ina milima na mabonde, hivyo ni vyema kuwa na watu ambao watakuinua na kukutia moyo unapopita katika changamoto. Watu wenye wivu huamini kuwa kila kitu kizuri kinatakiwa kitokee kwao tu. Watu hawa watafurahia unapopata matatizo tu, wala hawatakusaidia...

✍️✍️SOMO:MAMBO YATAKAYOMFANYA MMEO AKUPENDE NA AKUFURAHIE KILA SIKU

✍️✍️SOMO;MAMBO YANAYO MFANYA MMEO ASIKUCHOKE AU KUCHEPUKA✍️👆👆 ✍️✍️DARASA LA WANANDOA✍️✍️ ✍️✍️Mwalimu. Pastor Richard Simu+255759861768 Tusome Waefeso;5;20-25 Kuna Mambo ambayo mwanamke unatakiwa uyafanye unapokuwa kwenye ndoa Yako ili Umfanye Mmeo Akufurahie na Ajivunie Kukuoa wewe na Haya yafatayo ukiyafata ndani ya ndoa utaiponya ndoa Yako Karibu Tujifunze na Tujenge ndoa Zetu. 1. Anaporudi kutoka kazini, safarini au kwenye shughuli yoyote iliyowatengenisha, anza kwa salamu nzuri. 2. Unapompokea au kukutana naye basi fanya hivyo ukiwa na uso wa bashasha. 3. Vaa mavazi nadhifu. Jipambe na upake manukato kwa ajili yake. 4. Unapoanza kuzungumza naye anza na mambo au taarifa nzuri, na kama kuna taarifa mbaya subiri mpaka atakapopumzika. 5. Mpokee kwa maneno ya upendo na lugha ya kumpongeza au kumpa pole au lugha yoyote inayoonesha kumhurumia kwa k...