Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 8, 2018

KIKOSI CHA MAJINI BAADHI NA YANAVYOFANYA KAZI KUSHAMBULIA WATOTO WA MUNGU

✔✔ *KIKOSI CHA MAJESHI  YA MAJINI YANAYO HARIBU WATU* *WAKUU  WA  ANGA* 1: *Akibaru* = Jini huyu ni mkuu wa anga Africa Zima 2: *Alshamiri*=Mkuu wa Anga dunia nzima 3: *Zibanirati* =Jini anasababisha Ajali duniani 4: *Twalingu*=Jini huyu husababisha Ajali Tanzania 5: *Murafali* =Huyu Jini huzui mafanikio ukiona umeshindwa kitu Tandika huyu 6: *Ratifu=* huyu huwa Jini Anayeshughulikia na upotevu wa pesa tu ukiona pesa huoni zinaenda wapi shughulikia huyu 7: *Johari* =Huyu anashughulikia chuma ulete ukiona Kazini Kuna chuma ulete Anza kumshughulikia huyu tu Pia YUPO na mwezake Asinari huwa wanawaharibu watu wanakuwa walevi wavuta mbangi nk Ulevi wote au kukupa matumizi mabaya ya pesa unajikuta huna ufanyalo 8: *Subiani* =Huyu hushika Matatizo ya kinamama Mfano Tumbo kuuma chini ya kitovu Uvimbe na magonjwa ya Ajabu Ajabu ya wanawake hasa waliookoka au wenye kusimama Na Mungu ukiona hali yoyote tandika kwa maombi tu 9: *Sumiri*=Huyu hushughulikia ku...