SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MADHABAHU ZA UKOO
SOMO:MAOMBI YA KUSHUGHULIKIA MADHABAHU YA UKOO MLEGWA NI KILA MTU ANAYETESWA NA MADHABAHU YA UKOO AMBAYO INAPEWA NGUVU KUPITIA SADAKA ZA WANAUKOO WAFANYAPO MILA ZAO. Karibu Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Tunasoma Kitabu hiki. 👇👇👇👇👇👇👈👈 Mambo ya Walawi 25:47-49 [47]Tena kama mgeni au mtu akaaye nawe akitajirika, na nduguyo amekuwa maskini karibu naye, akajiuza kwa huyo mgeni, au kwa huyo akaaye kwako, au kwa ukoo wa jamaa ya huyo mgeni; [48]baada ya kuuzwa aweza kukombolewa; mtu mmoja miongoni mwa ndugu zake ana ruhusa kumkomboa; [49]au mjomba wake, au mwana wa mjomba wake, ana ruhusa ya kumkomboa, au mtu awaye yote aliye karibu naye wa jamaa yake, ana ruhusa ya kumkomboa; au kwamba yeye mwenyewe amepata mali, ana ruhusa ya kujikomboa mwenyewe. SOMA Kitabu kigine hiki 👇👇👇👇👇👇👇👇 ...