HOLY SPIRIT(ROHO MTAKATIFU MASOMO YAKE.
MUNGU ANAMRUSU ROHO WAKE AKETI KWA MTU AMBAYE AMEOMBA MAOMBI YA MSAMAHA NA KUTUBU . ISAYA .57;15" Maana yeye aliyejuu aliyetukuka akaaye milele.ambaye jina lake ni mtakatifu.Asema hivi;nakaa mimi mahali palipoinuka palipo patakatifu:Tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea ili kuzifufua roho za watu wangu kuwaleta kwangu walio wangu. SOMO LITASIMAMA MUNGU ANAKETI NA WENYE TOBA WALIOAMUAKUMFATA YEYE . 2" SOMO UKIMUUZI ROHO WA MUNGU HASIRA YA MUNGU ITAWAKA JUU YAKO . ISAYA .63:10 Lakini wakaasi wakamhuzunisha roho yake mtakatifu kwa hiyo akawageukia MUNGU akawaka hasira juu yao.. 3" UBATIZO ALIOUACHA YESU SI WA MAJI BALI WA ROHO MTAKATIFU YEYE NDIYE ALIYEKUJA AKAMALIZIA KUBATIZWA NA MAJI KISHA YEYE NAE AKATULETEA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU SOMA VIZURI . MATHAYO .3:11 " YOHANA AKAWAMBI A MIMI NAWABATIZA KWA MAJI BALI YEYE AJAYE NYUMA YANGU ANAGUVU KULIKO MIMI WALA SISTAHILI KUVICHUKUA VIATU VYAKE....