SMS KALI ZA MAHUSIANO
SMS NZURI ZA KUMTUMIA MCHUMBA WAKO Mwalimu wa Wanandoa Pastor Richard Kuna wakati mahusiano Yanaitaji Faraja na Maneno mazuri Yenye Kumfanya hata umpendaye Akajua unampenda Epuka Sana kumtumia mchumba wako SmS za kukera Mauzi short Sms Sms arrow Mfano mzuri wa sms hizi kwa mtu yeyote anaweza Kujifunza Kitu🚸 🍇🍇🍇🍇🍇🍇🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈🍈 1:nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 2:Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi… •·.·°...