SOMO:MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE LAANA YA WIZI WA ZAKA(FUNGU LA KUMI)
SOMO: MAOMBI YA KUJIKOMBOA KWENYE LAANA YA WIZI WA ZAKA (FUNGU LA KUMI) UFAFANUZI MFUPI KABLA YA KUOMBA SOMA 🌴🌴🌴🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀🍀 Shalom Mtoto WA Mungu Kuna Sauti naisikia Inasema Nifundishe Watu Ambao Wamefungwa na Wanateseka Kutokana na Laana ya Wizi Wa Fungu la Kumi Kwa Baba Zao wa Kiroho au madhabahu zao hawazitolei Fungu la Kumi na Kwakuwa haziwatambui zimenyamaza Hazileti matokeo Hali inayowafanya Hawa watu waanze Kutapa na kuhama hama Wazazi Wao wa Kiroho aliowapa Mungu Awaongoze Ndugu yangu Maisha ya Kiroho na Kanuni Ya Mungu lazima uchangue uwe na Baba Wa Kiroho haijarishi utapita kwenye wakati Mgumu kiasi ngani ile madhabahu ya Baba yako wa Kiroho itakubemba nakukutetea kwa kuwa umekuwa ukiitolea fungu la kumi. Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa LAANA YA FUNGU LA KUMI NI NINI? Ni kitu kinachomzuia Mtu Asibarikiwe Kwa Sababu tu Hatoi zaka katika madhabahu yake alipo Baba wa Kiroho Anatoa Popote yeye anavyoona nafsi yake Analiona Fungu la K...