Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 24, 2016

HOLY SPRITY MINISTRIES DELIVERENCE PRAYER

Picha
USHUHUDA WA KIJANA ALIYEG'TWA NA FISI NA VIDOLE AKATOKA NAVYO. KIJANA HUYU NILIMKUTU HOSPITALINI W NZEGA NILIPOKUWA NIMEENDA KUWAONA WAGONJWA NA KUWAOMBEA ANAITWA JOSEPH KUTOKA MWANDULU INJANINJA CHANZO CHA TATIZO ALIAMBIWA NA BABA YAKE MZAZI AKAMWANGILIE BUSTANI WAKATI HUO BABA MKEWE ALIKUWA MGONJWA YEYE AKABAKI NYUMBANI KUMWANGALIA MKEWE JOSEPH AKAENDA BUSTANINI ALIPOFIKA HUKO FISI ALITOKEA VICHAKANI NAKUMPALAMIA NDIPO ALIPOOANZA KUPIGANA NAE HUKU AKIITAJI MSAADA BAHATI NZURI ALIMZINDI AKAPANDA KWENYE MTI FISI ALIANZA KUUG.ATA MTI KWA HASIRA ALIPOTOKA PALE HUYU FISI ALIVAMIA MJI AKAANZA KUUINGIZA VYOMBO NDANI NDIPO WATU WALIPO MFUNGIA NDANI WAKAMUUA. BAADA YA MAOMBI HUYU KIJANA ANATEMBEA MAANA HATA KUTEMBEA ILITAKA KUGOMA KABISA TUNAMSHUKRU MUNGU ALIYEJUU  KUMPONYA JAPO VIDOLE MGUUNI HANA SASA. PICHA NI MCHUNGAJ RICHARD NA JOSEPH NIMUOMBEA NAKUONGEA NAE.

SOMO.ZIJUE SADAKA NA UTARATIBU WAKE

Picha
MCHUNGAJI RICHARD FROM HOLY SPRITY MINISITRIES SOMO.AINA YA SADAKA NA UTENDAJI KAZI ZAKE . 1. SADAKA YA KUJITENGA NA DHAMBI . HESABU .6:13-14 SADAKA HII huwa ni kiuganishi na ushindi wa kuishinda dhambi unayonena ktk kinywa chako . maana hujipatia upatanisho wa msaada wa kukusaindia kuishinda dhambi . MAMBO YA KUZINGATIA . ni kuacha na kuchukia maneno yanayokufanya utende dhambi . amua mwenyewe ndani ya moyo . CHUKUA HATUA YA KUIKATAA ROHO HIYO . toa sadaka kwa kumpatia baba wa kiroho ingieni mvunje akuombee sadaka kiasi chohote tu . FAIDA UNAYOIPATA . ni kutawaliwa na yesu na kupata mshauri ambae ni yesu . unauganika katika utakatifu wa kristo. UKRI MAOMBI YA KUKATAA DHAMBI . eeh bwana yesu kuanzia leo nasimama mbele zako kupitia sadaka niliyokutolea naomba ikawe kiunganishi ya njia njema kuanzia leo ktk jina la yesu.AMEN . 2. SADAKA YA KUPATA AMANI PASIPO NA AMANI . KUTOK...