Somo:Hasira Haitendi njema
SOMO: HASIRA HAITENDI NJEMA SIKU ZOTE. Matendo;26;11 Warumi:2:5-8 Waefeso:4:26-31 Yakobo:1:20 Nawakaribisha Wanangu Popote ulipo SoMo la Leo Jumapili ya Leo Tunataka Tujifunze madhara ya Hasira Na Hasira isivyo nashukurani haiwezi kukumbuka wema hata mazuri Hata Kidongo Lengo: Nikuwaponya watu Wenye Hasira Wameshindwa Kuendelea Kutokana na Hasira Zao Wamepishana na Baraka Zao Kutokana na Hasira. MAONO YA SOMO: Hasira Isiwemo ndani Yako ili kuponya Nafsi yako. MAAANA YA HASIRA: Hasira ni Kughadhibika Yaani Kupaniki kwa Ajiri ya Kitu Fulani. KUPOKEA Taarifa tofauti nakuitafisiri Tofauti inamfanya mtu Akasirike na Kupaniki MATOKEO YA HASIRA Yapo Mambo matatu tu Yanamtesa Mwanadamu kwa Mwanadamu 1;Hasira itakupa matokeo Ya Uadui Juu ya Mwanadamu MWEZAKO. Hi roho itakuwa na nguvu kukupa Mawazo machafu Juu ya MWEZAKO. 2:Hasira Itakupa matokeo Ya Kumtafisiri Tofauti Mwanadamu mwezako Hii roho itakufanya kila akiongea yule mtu kwa Kuwa unahasira nae utamwelewa tofauti Akili na Ufa...