SOMO;NGUVU ZA ANGA
SOMO:NGUVU YA ANGA. Mwanzo;1;6-14 Karibu Tujifunze Kwa Ufupi nguvu ya Anga Katika Maisha yako na umhimu wa maombi yako kushughulikia Anga lako kabla ya kuomba chochote Anga Ni nini? Anga ni Mpaka unaoweza kutenganisha kitu na kitu kigine Hicho kitendo cha kutenga huitwa Anga. Nguvu Ya Anga katika ulimwengu wa Roho Huzuia Maombi unayoomba Yasitoke chini kufika kwa Baba Mbinguni. Malaika wako anayekuwa Ameshjkilia machozi yako au mahitaji yako huyu malaika hukutana Angani na Vizuizi Kutoka kwenye malaika waasi kuhakikisha wanazuia ombj lako. Mwanzo 1:8 [8]Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili. And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day. Mungu kuliita Anga mbingu maana yake ni Anga lilopo katikati ya mbingu na nchi. UMUHIMU WA KUSHUGHULIKIA ANGA LA ENEO ULIPO KUNA AINA NYIGI MIANGA LAKINI KUU Ni Anga lako la Maombi. Maombi Unapoomba Anza Kushughulika Na Anga la Eneo ulipo huwezi kug,ag,ana k...