WATU 8 WAEPUKE UKITAKA KUFANIKIWA
SOMO;WATU 8 WAEPUKE KATIKA MAISHA YAKO Kuna watu katika maisha yako unapaswa waepuke ili ufike mbali katika maisha yako Usiabatane na Watu hawa kwa sababu watakwamisha hatua zako. 1;WATU WAJUAJI Isaya;50;4-11 Mwanzo;15;8 Mwanzo 3:21-24 [21]BWANA Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika. Unto Adam also and to his wife did the LORD God make coats of skins, and clothed them. [22]BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele; And the LORD God said, Behold, the man is become as one of us, to know good and evil: and now, lest he put forth his hand, and take also of the tree of life, and eat, and live for ever: [23]kwa hiyo BWANA Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa. Therefore the LORD God sent him forth from the garden of Eden, to till the ground from whence he was taken. [24]B...