SOMO; KUPISHANA KWA MIAKA WATU WANAPOOANA
DARASA LA WANANDOA SOMO: MIAKA MNAYOPASWA MPISHANE MKITAKA KUINGIA NDOA. Mwanzo;17;17 1Timotheo;5;9 Habarini Wanandoa Poleni na Machukumu Ya Kupambana Ada Wegine mpaka Sasa Watoto Bado hawajaenda nawaombea Sana. Basi niwakaribishe Wote Wawili Mwanamke na Mwanaume Leo Nataka Tuongelee Mada hii๐๐ฟ๐๐ฟHIVI MWANAMKE UKIOLEWA UNATAKIWA MWANAMME AKUZIDI MIAKA unajua KWANINI hamtakiwi MPISHANE Sana umri mkawa mnaleta maswali wale vipi ??? Basi Karibu SI Unataka UJIFUNZE ili usije ukatolewa na Kababu Ukatuambiasha Wanandoa wezako au ukatolewa na Katoto Wewe mdada mkubwa Kabisa Bint mmoja nikawa nimefika nyumbani kwake huko kwa Ajili ya kusuhulisha ndoa Yake Bint anamiaka 25 Mwanaume anamiaka 37 Ugomvi Kila Siku Nilifanikiwa kuirejesha ndoa hii Naitwa Mwalimu wa Wanandoa๐๐ฟ Nipo Morogoro Veta Dakawa ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ✍๐ผ MASWALI 1:KUPISHANA UMRI NDIO NINI...? Kwa Ajili muweze kuelewana na kulea familia iliyobora 2::KWANI KWA MUNGU ANAAGALIA U...