Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 5, 2016

SOMO;MAFANIKIO KITABU YOSHUA.:1-7 MCH. RICHARD

Picha
KARIBU UFUNGULIWE KATIKA MAFANIKIO MAFANIKIO NI NIN? ni  hatua unayopinga katika maishaa kutoka hatua moja kwenda igne KUNA SEHEMU KUU MBILI ZA MAFANIKIO -MAFANIKIO YA ROHO -MAFANIKIO YA MWILI. MAFANIKIO YA ROHO. ሸተ hatua ya kuongezeka kiroho na kiimani kuwa imani kila jambo mungu anaweza. VITU VINAVYOLETA MAFANIKIO YA KIROHO IMANI IKUE NI HIVI. -MAOMBI TENGA MDA WA KUSEMA NA MUNGU -SOMA BIBLIA MARA KWA MARA -PUMZISHA AKILI YAKO -UNGANA NA WENYE IMANI VITU GANI VINAKUZUIA -HOFU -WASIWASI -UVIVU -SI MTENDAJI -MAISHA -SHETANI -UBIZE -UJAJIPANGIA UTARATIBU -PESA -HUNA MDA WAKUJIFUNZA. HASARA ZAKE -KUACHWA NA MUNGU -KUZIDIWA NA DUNIA -KUWA MBALI NA USO WA MUNGU -KUWA WA SHETANI -KUTOKUKUA KIROHO -UNACHOMWA MOTO USHAURI WA KIROHO ISAYA.54:3 JIFUNZE ZAIDI ANZA KUJARIBU KUBADILIKA KIMTAZAMO. VITU VINAVYO KUINUA KIROHO -IMANI -TUMAINI -UPENDO -MAOMBI B. MAFANIKIO YA MWILI. ni matokeo ya ukifanyacho VITU VITAKAVYOKULETEA MAFANIK...

SOMO: UTAJIJUAJE UPO MBIGUNI AU JEHANAMU. KITABU.1YOHANA:3.8-10 MCH.RICHARD

1yoh.3:8-10 8.atendaye dhambi huyo ni washetani maana shetani toka zamani amekuwa akitenda dhambi kwa kusundi 9.kila mtu aliyezaliwa hatendi dhambi kumbe tukae tukijua wangia mbinguni ni wale tu wasiotenda dhambi ndio maana mwana wa adamu alikuja ili kuzipinga kazi za shetani walio wake wasipotee NDUGU ZANGU TUNAKUMBUSHWA KAMA TUMEAMUA KWENDA KWA MUNGU TUCHUKIE DHAMBI NIMEKUANDIKIA HAYO NDUGU YANGU ILI USIJE UKAENDA MOTONI MWENYE MASIKIO ASIKIE NA ABADILIKE AMFATE KRISTO HASA. MIMI MTUMWA WA KRISTO MCH. RICHARD FROM NZEGA SIMU.0759861768 SWALI. umejifunza nini katika  somo hili fupi lakini linaujumbe mzinto. umeamua nini baada ya kujifunza hilo.

USHUHUNDA WA FAMILIA ILIYOTESWA NA WACHAWI NA KUZIMU ,MIZIMU,WAKUU WA ANGA.

Picha
   USHUHUDA HUU UNATOKA KATIKA FAMILIA YA MZEE MIHAYO ILIYOPO HAPA NZEGA TABORA.  ZABURI.119-111 ኸተፐasimulia ushuhuda wa mungu wangu nitasema matendo yake walio wagumu wa imani wamujue mungu yupo matendo yake ya ajabu.p KARIBU UKUE KIROHO KATIKA USHUHUDA HUU NA IMANI IKUE NA KUONGEZEKA KARIBU UJIFUNZE KARIBUNI mungu alianza kunitumia kusema na familia hii toka nikiwa napitishwa katika moto katika kipindi cha kujaribiwa kwangu mama na baba walikuja kuniona mama alipokuja nilimwambi mama lazima uokoke ili ukapone na watoto wako wakapone hapo ndipo neno la kwanza mungu alinitumia kusema nawe mimi nilivuka mitihani yangu aliyonipatia mungu asilimia zote yesu na musa na elia hawa  watumishi walikuwa karibu nami wakati wa majaribu yangu walinitia moyo  mpaka kuvuka. BAADA YA MIAKA MIWILI NAKUTANA DINNA AMBAE NI MAMA YANGU NILIEMTAMKIA AOKOKE NDIPO ATAPONA. mama alikuwa tayari ameokoka na amemshika  mungu hasa nilifurahi nikamwambia mama nimeshakuwa mch...