Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 6, 2023

SOMO;MWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI

SOMO: MWIZI SUNGU WA FUNGU LA KUMI NA LAANA YAKE                  UTANGULIZI  Hakuna laana mbaya au wizi mbaya kama kusubutu kuwa mwizi wa fungu la kumi au kuwa mtu wa kusema umetoa fungu laku sijaona maana au kudharau Biblia inakemea Vikali Sana kwa mtu kumwimbia Mungu na mbaya Zaidi  ufundishwe  na mchungaji halafu jinsi ya kutoa fungu la kumi halafu ukaacha kufata utaratibu kama Baba yako wa kiroho. #REJEA KATIKA MISITARI HII SOMA KISHA ACHA WIZI _______________________________________ Malaki 3:8-15 [8]Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.  Will a man rob God? Yet ye have robbed me. But ye say, Wherein have we robbed thee? In tithes and offerings. [9]Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.  Ye are cursed with a curse: for ye have robbed me, even this whole nation. [10]Leteni zaka kamili...