SOMO:Faida za Kufunga
KUNDI LA TANO (5)LITAOMBEA MAHITAJI YA WATU NDANI YA GROUP NA KANISA LA MOTO WA YESU MAONO NA UONGOZI WA KANISA PAMOJA NA PASTOR RICHARD YATAABATANA NA SADAKA HAYA. Kundi hili litaomba kila Ijumaa na Kila Atakeyeomba Atafunga masaa 12 Pia atakuwa na Sadaka Yake Ya Maombi ya Kufunga na Kuomba. MAOMBI YA KUFUNGA NDIYO NINI? ___________________________________ Nikuutisha mwili wako ukae bila kula au kunywa siku Zima ukae miguuni mwa Bwana. ■□□□□■Mistari Ya Biblia■ □□□□■ Mathayo 4:2 Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa. Zab 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. FAIDA ZA KUFUNGA NA KUOMBA 1:Maombi ya Kufunga Yana nguvu Sana Yakukuvusha Pale umekuwa ukishindwa kuvuka miaka na miaka. Mstari huu Soma; Mt 17:21 [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga. ••••°°°°°OMBA HIVI••••°°°°° ●Kupitia kitabu cha Mathayo 17:21 Mungu Umesema Kuna Mambo hayawezi Kufunguka Kwangu mpaka nifunge Leo hii ninaa...