SOMO: USALITI
SOMO; USÀLITI Mwal; Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa YouTube; Kanisa la Moto wa Yesu UTANGULIZI Tusome Vitabu hivi 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 1 Mambo ya Nyakati 12:17 [17]Naye Daudi akatoka ili kuwalaki, akajibu, akawaambia, Kama mmenijia kwa amani ili kunisaidia, basi moyo wangu utaambatana nanyi; lakini kama mmekuja ili kunisaliti kwa adui zangu, kwa kuwa hamna udhalimu mikononi mwangu, Mungu wa baba zetu na alitazame neno hili, na kulikemea. 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mathayo 26:14-16 [14]Wakati huo mmoja wa wale Thenashara, jina lake Yuda Iskariote, aliwaendea wakuu wa makuhani, [15]akasema, Ni ...