SOMO: UFANYE NINI UNAPOONA MAMBO HAYAENDI
SOMO: UFANYE NINI UNAPOONA MAMBO HAYAJAKAA SAWA..?? 🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦 Tufunue Mwanzo Kwenye uumbaji Mwanzo:1;2 na migine 2;Samweli:13:18-21 Yoshua:10:10-13 Ruthu:3;18 Matendo:19:36 Yakobo:3;8 Isaya:62;1 Estha:2:1 Kitu Cha Kwanza Kabisa Mungu alipomaliza dunia na mbigu Akaona Dunia IPO tupu haijakaa Sawa Alimua Atulie Kwanza Ili aweze Kuumba Vitu Vinavyoonekana Tunasoma👉🏿👉🏿Mwanzo : Mlango 1 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maj Mfano Mwingine Kwa Yoshua ili ashinde Vita Yake nakuwavusha watu alipoona Vita vinaendelea kuwa vikali bila mafanikio yote alikaa chini Kwanza akatuliza Kichwa Kwanini Tunapingwa Akakubuka niseme na Baba Yangu alisimamishe Jua Kisha niingie vitani nanitashida Ni katika Mawazo ya Yoshua alifikiria nakusimamisha Jua Tusome;Yoshua:10:13 Hata Wewe Leo Naongea nawewe Mambo hayaendi Unazidi Kuharibu Vitu unazidi Kuumizwa na madeni Kwa Sababu...