SOMO:MADHARA YA KUZINI KWA MKRISTO
SOMO : MADHARA YATAKAYOJITOKEZA KWA MKRISTO UNAPOZINI TIBA YA KIROHO KWA UNAETESWA NA UZINIFU. Leo Tarehe 23/12/2020 nikiwa nimetulia ofsini nasikia Sauti ikinielekeza Fundisha MADHARA ya watu wangu walioitwa kwa jina la watoto wa Mungu Jinsi wanavyojitesa na Dhambi ya Uzinifu Wafunulie wapone maana moyo wangu unahuzunika walivyokosana nami Kupitia Uzinifu Somo hili Linalenga Bint na Kijana wa Kiume Karibu ujue Yanayokutesa chazo chake Ulizini na Dhambi Hiyo hajawahi kuongozwa Jinsi kuitubu NAKUKARIBISHA MTUMISHI WA BWANA BISHOP RICHARD Simu ya msaada wa Kiroho nipigie Jioni Saa 12:00 Namba +255759861768 Nipo Morogoro Veta Dakawa TUFUNUE Biblia Zetu 👉🏿✍🏼Warumi:13:9 Mathayo:5:27 Yet:13:27 MAANA YA KUZINI;- Nikufanya Tendo la Ndoa Bint au Kijana Ambaye hajulikani kwa wazazi wako Wala hajakutolea mahali au Kufanya Tendo la Ndoa na Bint Ambaye sio mkeo. MKANZIO;-KWA MABINT WA YESU Bint Yeyote anayefanya Tendo la Ndoa na Kijana Asiyejulikana Kwa Waz...