Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba 20, 2020

MAOMBI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE UPOFU

JINSI YA KUJIKOMBOA KUTOKA KWENYE UPOFU WA KIROHO NAKUAZA KUONA NJIA YA KUFIKIA MAFANIKIO YAKO AU HUDUMA YAKO. Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Maombi Haya nayokufundisha unatakiwa uombee macho yako ya damu na Nyama yaweze kuona mwelekeo wa Maisha yako Kuona Mlango wako wa Baraka.Ukitaka Kuongea nami kwa msaada piga Saa 12;00Jioni simu za Bishop Richard+255759861768 Marko:Mlango 10 🥦🥦Huu mstari wa kusimamia; 51 Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍🏼✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ MAMBO HAYA ZINGATIA UNAPOOMBA USIOMBE BILA MAELEKEZO HAYA. 1:Maombi ya omba ukitamka Nafuta macho upofu kwa Damu ya Yesu. 2:Unapoomba Onesha ishara macho yako unafuta kitu ukiwa unayapapasa macho yako. 3:Kisha yaombee macho yako Yawe na Nguvu ya Kuharibu kazi za shetani wachawi wasikutazame mapepo yasisimame mbele yako 4:Tamka maneno na uyatoe maneno kwa kuamrisha Unapoomba. 5;Omba Ukiwa Umesimama au unate...