SOMO:UZIMA WA MILELE 1YOHANA.5:11-13 UFUNUO.3:20
UZIMA WA MILELE NIN? ni uzima unaopatikana mbiguni baada ya kufa kwa mwanadamu. ni mahari patakatifu na waingia hapo wale tu waliotembea na mungu katika sheria yake na maangizo yake wenye kujitenga na dham KUNA SEHEMU KUU MOJA TU ITAKAYO KUPATIA UZIMA NA KUKUONGOZA KATIKA NJIA NZURI YA KUKUFIKSHA MBIGUNI. yesu akasema mimi ndie njia ya kweli itakayokufikisha kwa baba mtu haingii mbiguni pasipokupitia kwangu yohana.14:6 ILI UWEZE KUNGIA MBIGUNI LANZIMA UPITIE NJIA KUU HIZI. LANZIMA UTUBU MAOVU YAKO. nawaambia sivyo mnavyozania kuja kwa baba mnakuja na uovu wenu lanzima mtubu na msipotubu mtaangamia hapa anamaana mtachomwa moto mtapotea mtaenda njia zisizofaa.mtakufa LUKA.13-3 LAZIMA UMPOKEE KRISTO YESU [UOKOKE] USIPOOKOKA HUTASHINDA VISHAWISHI VYA KIDUNIA WALA DHAMBI HUTOISHINDA KAMA UNATAKA UONE UZIMA WA MILELE USIOKOKE KINAFIKI UKIWA KANISANI MWEMA UKITOKA KANISANI. UMBEA WAKO.UOGO WAKO .UCHAWI.UZINZI.DHABI ZINAKUTAWALA UMEAMBIWA ISHINDE DHAMB...