MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME
SOMO;MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HAJAMTOLEA MAHALI. •••••••••○○○••••••••●●● Mstari wa kusimamia _______________€ Kumbukumbu la Torati 5:18 [18]Wala usizini. Neither shalt thou commit adultery. Karibu ujifunze Bint mwenye maono ya ndoa Au kujenga familia Bora Yenye hofu ya Mungu. JILINDE USIZINI WALA USILE PESA ZA MWANAUME NI HERI UCHELEWE KUOLEWA Kuliko uolewe ukiwa unazini sifa ambayo mbaya Sana Kwa Mungu ni mwanae kuzini kuolewa hataki kuowa hataki kuzini anataka Kosa kubwa. HAYA NI MADHARA UTAKAYOYAPATA BINT MADHARA MENGI YAPO KWAKO KULIKO KIJANA. 1;Kwanza utavaliwa na Jini Anzura huyu jini humzuia mtu asiolewe omba uombavyo zunguka makanisa na makanisa ndoa utaisikia tu mpaka ukutane na anayejua kukufungua. 2.Utadharaulika kwa kijana atakufanyia vituko na atakuona umejirahisha kwake hata kama wewe umempenda. 3.Utapoteza malengo yako na mwelekeo mzima wa maisha yako. 4.Utaruhusu milango ya matatizo iwe mingi mara magonjwa ya wanawake,mara tatiz...