Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 5, 2022

SOMO;UBATIZO WA MAJI MENGI

Picha
SOMO: ;UBATIZO WA KWELI NI UPI KI-BIBLIA*              *KATI*                *YA* *MAJI MENGI AU MACHACHE* Biblia inasema katika *WAEBRANIA 6:1-3:-“Kwa sababu hiyo , tukiacha kuyanena mafundisho ya kwanza ya Kristo, tukaze mwendo ili tuufikie utimilifu; tusiweke misingi tena wa kuzitubia kazi zisizo na uhai, na wa kuwa na imani kwa Mungu, na wa MAFUNDISHO YA MABATIZO, na kuwekea mikono, na kufufuliwa wafu, na hukumu ya milele. Na hayo tutayafanya Mungu akitujalia*” Kama waalimu wengine wa uongo watalitumia andiko hilo kupotosha watu na kusema , suala la ubatizo halina umuhimu sana kuhangaika nalo , kikubwa wewe ukishaokoka , basi ! Haijalishi kwamba umepatiza kwa ubatizo upi maji mengi au machache.  Watu wanaofundisha hivyo hao ni wapotoshaji wakubwa wa kweli ya neno la Mungu. Wanakudanganya hao !! Ni muhimu kuelewa *UBATIZO NI SUALA LA LAZIMA NA LENYE UMUHIMU MKUBWA KATIKA IMANI YETU YA WOKOVU”* Bwana Yesu ...