MAFUNDISHO YA WACHUNGAJI

🔥🔥Mafundisho Ya Wachungaji🔥🔥

Njisi ya kumkomboa MTU ateswaye na Vifungo vifatavyo

.1;,Haolewi/Haoi /Anayeumizwa

2;Mwenye majini/Mapepo/uchawi/uganga/

☝🏽☝🏽Tahadi Kwanza Umjenge kiimani na kumfundisha neno.

☝🏽☝🏽Mwondoe hofu nawe ondoa  maswali sijui atapona au sijui atafunguliwa nk

🔥🔥Hatua zakumuwashia fire🔥🔥

✍🏾 Jiamini

✍🏾Tafuta mistari Wenye nguvu

✍🏾Ita damu ya Yesu

✍🏾Tamka kwa Amri sauti iliyokaza sio kulegeza

✍🏾Jina taja Yesu mnazareth

✍🏾Usiwe na hofu

✍🏾Ukiona korofi likate mikono/miguu

Halafu charaza fimbo za Yesu mnazareth rukisha kichurachura

Harafu liamru litoke lisirud

✍🏾Tambua wewe ni Mchungaji wangu kama njisi nilivyo  na umoja Mimi na Baba yangu Tabua hata wewe Amekushika

🖐🏼🖐🏼Maeneo ya Kumshika  mwenye Pepo

1;Kwenye utosi

2;Kifuani

3:Mikononi

4;Mtazame machoni  tu

🤛🏽Pambano LA kwanza Hakikisha unapambana

Ukiwa umejiweka katika uwepo

🤛🏽Gumi ya pili komboa jina lake mteganishe na minyororo

🤛🏽Hakikisha Gumi unalega kumkomboa ufahamu wake

☔☔Komboa pesa zake uchumi ndoa Yake

Endelea na mapambano  kuhakikisha Unashida

🔥🔥🔥Huwa yanatoka kwa njia

1;Kupiga kelele

2;Kupiga miayo sana

3;Kusema tuna toka

4;kutapika

5!kutema mate

6;kulia

7! Mwili kuchoka kulengea maungo

8! Kuongea

9! Kimya kimya

🔥🔥Amri ambazo utamke🔥
1: njoo njoo njoooo

2!Nag.ooo nag.oaaaa

3;Nafutaa nafutaaaa

Nk

🌳🌳By Pastor Richard

Tovoti

Bofya
        www.mchungajirichardi.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.