Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 6, 2024

SOMO; WAJIBU WA MAMA MCHUNGAJI NA MCHUNGAJI NDANI YA KANISA.

SOMO; WAJIBU WA MAMA MCHUNGAJI NA MCHUNGAJI NDANI YA KANISA.  UTANGULIZI  Ni vyema somo hili liwafikie walengwa wapate kujua nini kinawapasa wafanye ndani ya kanisa Kwanza waelewe wao wanasimama kwa niamba ya Mungu wamepewa watu waongoze nakuwachunga Kiroho katika Kondoo hao wanapaswa wawajue vizuri nakujua zinzi lao na Aina ya malisho wànayowapa. Zaburi:23;1-4 Malaki.2:7, Mathayo.5:14-16 Basi Upo namimi Pastor Richard nakuletea Nakala hii Ujifunze kitu fatana nami mpaka mwisho. MAANA YA MAMA MCHUNGAJI ? Mama mchungaji ni msaindizi wa mchungaji katika majikumu ya kutimiza wito wake anasimama kwa niaba ya mchungaji hata kama hayupo. MAANA YA MCHUNGAJI? Mchungaji ni msaindizi wa Mungu anayesimama kwa niaba ya Mungu kuwaongoza watu kiroho nakuwakuza kiimani. MAMBO YA KUJUA NA YA MUHIMU KWA MCHUNGAJI NA MAMA MCHUNGAJI  _______________________________________ _ 1;Mungu Amekuweka Kwa Niaba Yake Kumuwakilisha Kwa Watu wake. 2.Mungu Amekupa Kibali  Kuliko wengine Amekuamini ...