SOMO: Utaratibu wa Kujinasua kutoka katika Vifungo vya kutokutembea na Roho Mtakatifu
SOMO ;UTARATIBU WA KUJINASUA KATIKA VIFUNGO VYA KUTOSIMAMA KATIKA ROHO MTAKATIFU MAMBO HAYA LAZIMA UJUE. 1:HOFU 2;TABIA 3;MAFUNDISHO 4;MIKATABA 5;UZINIFU 1;HOFU;- ni hali ya mtu kutokujiamini kama mtoto wa Mungu mwenye uweza. mtu asipojitambua uweza wake na Kujua MUNGU ALIYEHAI UWEZO WAKE atakuwa mtu asiyejiamini katika 1;MAOMBI YAKE 2;NJIA ZAKE 3;UAMUZI WAKE Hofu ni kipi huwasababisha watu. -woga na mashaka katika dani ya mtu -kutokujiamini kuwa unaweza -mawazo ya kushindwa yaani ukiaza kufikiri huwezi au utashindwa ujue unaenda kuaguka kiroho. UTAWEZAJE KUISHIDA HOFU MTOTO WA MUNGU -1: JIAMINI katika hali ya kujiamini elewa we mtoto wa MUNGU TAMBUA KUJIAMINI NI SILAHA YA KUFANIKIWA. 2:MAWAZO YA NJEGE UWEZA. katika hali ya kujenga wazo lenye nguvu ya mafanikio. 1;Mwelewe Mungu katika roho na shetani mtambue ktk roho. lakini ndio akupaye hofu aweze kukuagusha kiimani na kukuvunja moyo. 2:MWAMINI MUNGU elewa na uwaze ya ...