Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 31, 2020

SOMO: DALILI ZA MTU ANAETESWA NA UCHAWI WA MAJINI

SOMO; DALILI ZA MTU ANAETESWA NA UCHAWI WA KUTUMIA MAJINI Tufunue Biblia Zetu Tusome;Luka:9;1-2 Hesabu;23;23 Isaya;47;10-13             ✍️✍️✍️✍️ UTANGULIZI✍️✍️ Karibu ninayekuletea SoMo Hili Ninaitwa Pastor Richard nielimu inayoenda Kukusaidia Kutoka kwenye Vifungo vya kichawi maana wachawi wametapakaa kuleta Uharibifu wa maisha Yetu nasi Tunafungwa Ufahamu na kututesa endapo Tunaposua sua kusimama na Maombi Tunajikuta Tunapitia matatizo mbalimbali yanayosabambishwa na Ufalme wa WAGANGA na wachawi Karibu Ujiagalie unazo dalili hizi Kama ndio jua wamekunasa wachawi Tumia namba Zangu Pastor Richard unipingie Jioni+255759861768 au fika kanisani Morogoro veta Dakawa Mara nyingi wachawi Hufanya Uharibifu na Kukufunga usiku 1;Mfano unaweza kuwa unaota mara kwa mara unalishwa vitu usingizini au unapewa madawa na wakati mwingine unakuta asubuhi umechanjwa c...

SOMO; KIKOSI CHA MAJINI NA KAZI ZAKE

✍️✍️✍️SOMO;KIKOSI CHA MAJINI na YANAVYOMTESA MTU Elimu hii inawasilishwa na Pastor Richard ili KUKUFANYA UOKOKE na Usimame MAJINI hayapo yapo na niroho zinazowatesa watu na familia zao. Tufunue vitabu!;Luka;9;1-5✍️1wakoritho:10;17-25✍️Yakobo:2;19✍️1timotheo:4;1✍️Zaburi;106;37 Kuna aina nyingi za majini baadhi yake ni kama hizi chini nitayataja MAJINI na kazi zake Ili uelewe na uendelee kusimama na Yesu 1) Murafari – hili ni jini linalozuia mafanikio ya kupata fedha, mafanikio ya elimu nk. 2) Latifu – hili jini linaloleta ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo 3) Jahari – Jini anayetumiwa kuiba mali na kuzuia biashara kustawi 4) Hasinani – jini hili ni la fujo, ulevi wa pombe, bangi na dawa za kulevya 5) Jube – jini hili linasababisha utasa 6) Subiani – jini la ajali, linasababisha wanawake kutokupata siku zao, na kunyonya damu za akina mama siku zao za hedhi ambapo wanapata maumivu makali sana. 7) Sumil – jini hili huangamiza mimba changa 8) Wai...