SOMO;NAMNA YA KUIFANYA IMANI ILETE MATOKEO
SOMO: NAMNA YA KUIFANYA IMANI ILETE MATOKEO; ,,,,,,,,,'''''""""""""",,,,,,,,,,,,^^^^^^^^^^ UTANGULIZI; Naitwa Pastor Richard Kutoka Kanisa la Holy Spirit church Tanzania Moto wa Yesu Watu wengi Wana Imani Lakini Hawana Imani Yenye Kuwapa Matokeo Ya Kile Wanachokiamini Watu Wengi Huweza Kuomba Vizuri Lakini Imani Ya Kuwapa Wanachokiamini hapo ndipo palipo shinda.. Imani hubembwa na mtu mmoja Anayekuwa anauhitaji wa Kuamini Jambo fulani Akifanya au Akiomba Ataona matokeo Imani huwa si kubashiri au Kutumaini Kitu Ambacho huna uhakika nacho. WATU WENGI HUJUA IMANI NI HAKIKA YA MAMBO YATARANJIWAYO 👇👇👇👇👇 Waebrania 11:1 [1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. WACHACHE HUJUA IMANI NI UKAKI WA KILE UNACHOKISIKIA AU KUKITAMKA SAWA NA ANDIKO HILI 👇👇👇👇🌴🌴🌴🌴🌴 Warumi 10:17 [17]Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo. Kwa Lugha rahisi Anaman...