Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba 27, 2021

SOMO:SIRI TATU ZA BARAKA ZA MUNGU

SOMO: SIRI TATU AMBAZO MUNGU ANAZITUMIA KUKUPA USHUHUDA USIZOZIJUA. Tunaweza Kusema Baraka Za Bwana au Shuhuda Hufananishwa na watu Walioitwa Kufanya intaview ili wapate Kibarua Kila mmoja hutengemea Apate Kazi Lakini Anayekuja Kupata Kazi Ni mtu mmoja au wachache Sana Kwa Kukosa Kukizi Vigezo Ndivyo ilivyo ili uwe Na Ushuhuda au UBARIKIWE KIAFYA ,ELIMU, UCHUMI Unapaswa haya ninayoenda Kukufundisha Uyaelewe nakuyaishi. 1👉🏿JENGA MADHABAHU YA BWANA. 1 Wafalme 18:32 [32]Naye akaijenga madhabahu kwa mawe hayo katika jina la BWANA; akafanya mfereji, kama wa vipimo viwili vya mbegu, ukiizunguka madhabahu. Hapa ninaongelea Madhabahu Nikimanisha mahusiano MAKUBWA na Mungu utakayoyajenga Kwa Kuwa mwaminifu Katika Madhabahu Ya Baba yako wa Kiroho Kutoa Fungu la Kumi kila mwezi Bila kuruka ruka hata Kama unapita kwenye pito toa Fungu la Kumi KWANZA Hata Kama huna Kazi Nenda kafanye usafi nakufua nguo za Mlezi wako wa Kiroho WEKA USIARIZI WA KUTEMBEA KATIKA MADHABAH...