Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni 7, 2020

SOMO; MALAIKA WANAVYOKUPELEKEA OMBI LAKO

✍️SOMO: MALAIKA WANAVYOKUPELEKEA OMBI LA HITAJI LAKO KWA MUNGU Tufunue; Vitabu hivi Zakaria:1;4-10,5;5,Mwanzo:22;15,Waebrania:2;5-7,Luka:1;11 Maamuzi;13:15-20 Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa Karibu Katika Kipindi Cha Neno la Mungu. Leo Nataka Niongelee Na Kufundisha Juu Ya Malaika walinzi ambao pia huwa wanabeba dhamana Yako ya kuchukua Maombi Yako pale unapoomba Huchukua Yale Maombi Yako nakuyapeleka mbinguni. Maombi Yako Kama Malaika wako Anayebeba Maombi Yako Kuyapeleka Kwa Mbinguni hatayafikisha Ni ngumu Mungu Kukujibu Tuchukue Mifsno Kadhaa kwenye Biblia. Tunaangalia mzee wetu Ibrahimu Alitengemea Apate Mtoto bado kijana Akaja Kupata akiwa na Miaka 99 na mkewe 80 Lakini Ibrahimu alimpenda Mungu na Alikuwa mtoaji wa Zaka kanisani Alimtumikia Mungu lakini Alikuwa Akiomba Mungu nipe Mtoto asipokee. Kwa Sababu ngani Maombi yake hayakumfikia Mungu mbinguni Kutokana na Malaika wake Aliyekuwa Amebeba Maombi kuzuiliwa Angani na Kadiri alivyozidi kuomba ...