Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 6, 2021

SOMO: Kusudi

                              👉🏿SOMO: KUSUDI✍🏼 Isaya:14:27 Ezekiel:38:10 1Petro:3;7 1Wakoritho:9:23 2Wakoritho:9:7 Wafilipi:2:13 Waebrania:4;12 ,10:9 Mwanzo:6;5 KUSUDI Ni somo au nakala inayolenga Kukupa picha nakukufungua wewe ambaye Hutaki Kusundi la Mungu likae ndani mwako umelitupa nje kusudi la Mungu nakushikilia Kusudi mbaya Somo hili litaponya Nafsi yako litaponya maisha Yako. Ukijua Kusudi la Mungu ndani mwako hutahagaika.Naitwa Bishop Richard Nakukaribisha KUSUDI NI NINI? Kusudi ni Lengo kuu. Lengo kuu Ni Nini? Ni njia inayobebelea maono yako ya Baadae matarajio yako. DHIMA YETU MOTO WA YESU 👉🏿 Kuadaa watumishi wenye nguvu yakutumika katika Roho. LENGO;-Watu Tuwafundishe ili wajikomboe wenyewe Kutoka kwenye Mateso na Vifungo KUNA MAKUDI MATATU YA KUSUDI. 1:Kusudi linaloongea ...