Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 2, 2023

SOMO; MAOMBI YA UKOMBOZI WA ARIDHI

SOMO: MAOMBI YA UKOMBOZI WA ARIDHI. Naitwa Pastor Richard  Nipo Morogoro Veta Dakawa  Jifunze kitu kupitia haya maombi. Aridhi Usipokuwa na nguvu ya kuitawala Adui na roho zitakutesa Sana. KILA Jambo liwe la Baraka au Laana Hushirikishwa Aridhi Adui anayetaka aharibu maisha yako hawezi kukudhuru endapo Aridhi na Anga ukiwa umevimiliki Ndiyo maana maandiko yanasema Ibarahimu Mungu alipotaka kumbariki alimwambia ondoka katika aridhi ya Baba  Yako na mama yako na Jamaa uende mpaka nitakapokupa. Kwanini Asigembariki pale kutokana aridhi ya hapo alipokuwa Ibrahimu haikuwa aridhi iliyoandaliwa kwa ajili ya Baraka zake ilikuwa imebemba laana tu.   SOMA👉Mwanzo:12 MUNGU Akasema  Mwanzo 1:28 [28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.  Nataka nikuambie ukitaka kumiliki Mfano. Kazi Biashara Pesa Kilimo Majumba. HUDUMA...

SOMO; MAVAZI NI UTAMBULISHO WAKO ULIYAVAA.

SOMO: MAVAZI NI UTAMBULISHO WAKO WEWE ULIYEYAVAA. Nakukaribisha katika Somo hili; Mavazi unaweza Kuvaa wewe mwenyewe unavyotaka Jamii ikutambue au Mbigu zikuelewe. Mavazi ni uhuru wa mtu kuvaa anavyoona nafsi yake yafaa. Lakini tambua Kila Vazi ukilivaa Tunajua huyu ni nani. Mfano ukivaa Joho na kofia tunajua huyu mhitimu amesoma Ukivaa Sale za kazini kwako tunatambua kupita mavazi uliyovaa. Nakukaribisha upate kuongeza maarifa KUNA AINA NNE NIMEPATA KATIKA UVAAJI 1:UVAAJI WENYE UTUKUFU Haya ni mavazi yanayompa utukufu Mungu yenye heshima yaliyoshonwa vyema na kwa kitabaa safi isiyoonesha maungo yako ya ndani Soma 👉Luka;7;25 Kutoka:31:10  Walawi:16;32 2:UVAAJI WA KITUMWA. Haya ni mavazi yanayomtambulisha mtu anatumikishwa na kitu au amefungwa mfano. Chizi, mtu aliyefungwa uvaaji wake utajua tu. Ukija kuvaa mavazi hayo wewe ambaye siyo tayari jamii na watu tutambua umetekwa na roho wewe unatumikia kifungo fulani. TUSOME ANDIKO. Kumb.Torati:21:13 3.UVAAJI WA KIKAHABA Kahaba ni mwana...