Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 18, 2016

MAOMBI YALETAYO MAJIBU YA HARAKA

✍🏾👇🏾MAOMBI YA. KUAGANA  NA  MUNGU✍🏾👇🏾 ✍🏾✍🏾NATAKA NIKUFUNGUE KWENYE MAOMBI YAKO YA MAZOE WAKATI Ulishaelezwa Mambo ya kuzingatia  Ishi maisha yenye sifa hizi 1;Kumpenda MUNGU sana kujitoa kwake kumtumikia kuvisha wachungaji kanisa kulipamba Kisha kila kitu ukifanyacho kwa ajili Yake inenee uweke Mwisho WA matatizo Yako na mwanzo WA Mfumo mpya kila sadaka 🎤Haya huwa Maombi Ya Agano Au Nadhiri baina yako Na MUNGU Neneaa Madhabahu unayoipeleka usiseme imladi kanisani au popote Nena  Roho WA MUNGU anapokuambia Majibu yangu yapo ktk Madhabahu Fulani ☝🏽☝🏽Hasara zake kama Hutotimiza Ulichonena✍🏾✍🏾 MUNGU huwa Anajibu lakini usije ukamsaliti Au Akakujibu ukataka ubadilike huwa ni mbaya sana adhabu Yake wala usifikirie Kuvunja Agano Mfano Mimi ni mtoto wako hili tumbo nalitamkia likazae watoto kazaa mwenzi huu kama tat...