Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 16, 2021

SOMO;; UTAFIKA

SOMO:;UTAFIKA TUFUNUE Biblia Zetu Tusome 1Samweli:10;5 Yeremia:51:33 Mika;1;15, ✔️ Ayubu:5:26👉🏿✔️38:11 Kuna Mtu mmoja akawa analia Kila akinipigia Simu Anasema Pastor Richard Mimi Ni ninashida ngani mbona Kila mwanaume ananiumiza tu nimekuja Hapo Nzega Ulipokuja nikaamini nikikuona tu sitakaa muda mrefu bila Kuolewa lakini umeniombea ndio Yule mchumba niliyekuambia Yeye alikuwa akinisaidia Ameniacha Sasa kila nikiingia mtandaoni naona Wezangu wanashuhudia Mimi lini nitaolewa. Nami dada nilimjibu Fika Morogoro Veta Dakawa Madhabahu hii ya Moto wa Yesu akasema Mimi nipo Kazini Ni Mwalimu siwezi Kufika Kwani Mungu anaumbali SI Uniombee hata huku nitapokea Nikasema Bint nimesema Fika Kanisani Morogoro Veta Dakawa Sasa Kama Nipo mbali siwezi Kuombewa Mpaka nifike nikamjibu nyumbani Ni nyumbani Madhabahuni ukifika unajiconect na Nguvu ya Mungu nakumfanya Mungu aseme na Mtumishi juu ya Tatizo lako kujua chazo na nguvu ya Madhabahu kanisani nitofa...