Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 3, 2020

SOMO;TULIA

👏🏽👏🏽SOMO; TULIA (Dhambi inaua) 🌳🌳 Tufunue Vitabu hivi Tusome Kabla hatujaendeleaa na SoMo Letu Matendo;19:30-37 Yeremia;48;11 Mwanzo;1;2 Ruthu;3:18 Zaburi;51;10 Ayubu;37;17 1wathesalonike;4;11         👏🏽👏🏽 UTANGULIZI🌳🌳 Tulia Ni Neno ndogo Sana Lenye herufi Tano TU lakini limebeba mafanikio mengi FAIDA nyigi Kazi nyigi USHINDI mwingi katika maisha Yetu endapo tukilishika na Kuliishi Neno Kutulia. Kutulia hii Ni Sifa kuu ya Mungu Kutulia au Utulivu na sio kuruka ruka au Kuwa mtu wa makelele kujichaganya njia zako au katika ndoa yako Mara Upo nyumba ndogo Mara mme huyu au MKE huyu Kila mwanamke wewe MKE wako au Kila mwanaume mme wako au Mara Upo na mchumba huyu kesho mmeachana kesho Tena Upo na huyu Halafu unaaza kusema Mungu hakukusudia niwe na huyu Mungu ndio maana tumeachana Unaanza Kumwambia Mungu akupe mme au MKE. Shida sio mme au MK...