Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari 19, 2020

SOMO:Jua Njisi Ya Kuvua Utukufu wa Shetani nakuvaa utukufu wa Mungu

⌚🌅🌠SOMO: MVUA UTUKUFU wa SHetani___ VAA UTUKUFU wa MUNGU.🔥🌠🌠 Vitabu: Mathayo;16;27 Mathayo:25:31 Yohana;9;24 Warumi:5;2 Isaya;60;1_5 Lengo La SOMO; Kukujulisha kujua nguvu ya UTUKUFU wa MUNGU ndani yako na njisi ya kuulinda utukukufu wa Mungu. Karibu Naitwa Pastor Richard UTUKUFU NI Nini?? Huwa Ni Nuru au mwanga unaokuwa unakuzunguka katika kuhakikishia unakutambulisha kwenye kazi unayoifanya. Kwa mfano rahisi unaweza chukua zoezi hili Nzima taa yako usiku halafu uone unazungukwa na Nini Kama utaona ngiza Ni utukufu wa Shetani unavyokuwa unakuzunguka kwa Kukosa Neno la Mungu  ndio unajikuta mtu Anateseka na Tatizo  bila kujua chazo kumbe kwa kuwa Anakuwa Yupo amefunikwa na UTUKUFU wa WANADAMU au Utukukufu wa Kumtengemea Hirizi waganga uchawi Miungu majini nk Mtu aliyezungukwa na Hali ya ngiza huwa Ni kazi pia Kuelewa adui anayemtesa Yupo nae ndani au Yupo nae nje kwa kuwa taa Yake Huyu mtu ameizima Anaona ngiza TU kwa ...