MAOMBI HUJIBIWA KWA MUDA GANI

✍🏾✍🏾 *MTU HUJIBIWA* *BAADA YA MUDA GANI*🔥🔥🔥 Ukimuombea/Ukiomba majibu huletwa baada ya Muda GANI..? Miongozo Biblia Kutoka;23;30 Nitawafukuzisha kidogo kidogo watoke mbele Yako *Obadia* :1:17. KUMB. TORATI. 7;1-2 HABAKUKI; 2;3 * ✍🏾✍🏾Watoto wengi wamefikia wakati wanajichanganya nakukata Tamaa WATU MAJIBU HUJIBIWA KULiNGANA na Uvumilivu na Subira Yako Watu ambao huwa hawajibiwi wasio kuwa na Imani Wenye kukata tamaa Wenye kupuuza neno ✍🏾✍🏾MUNGU HUJIBU BAADA YA Muda huu toka uombewe. *1⃣Dakika* Muda WA dakika kazaa unapokea majibu hupokea MTU. *2⃣Siku* Muda WA siku kazaa MAJIBU yako hupokea na kutendewa *3⃣Wiki* Muda WA wiki Tu MTU hupokea majibu Anapombewa *4⃣Miezi* Muda WA Miezi tu huwa lazima MTU afuguliwe ajibiwe Kila anapoombewa MTU. *5⃣Mwaka* Muda WA mwaka tu HUJIBIWA MTU na kufuguliwa...