Somo: VUKÀ
🌳🌳SOMO; NJISI YA KUVUKA ULIPOSHINDWA KUVUKA✍🏾✍🏾🌳🌳🌲🌱🌱 Tufunue Biblia Tusome vitabu hivi Mathayo;14;34 Matendo:18;27 Hesabu;32;30 Torati:9;1-5 Yoshua,;3;1-17 🌳🌳🌳 UTANGULIZI🌳🌲🌱🌱 Shalom Wanangu Karibuni Neno la Mungu kwa uongozi wa ROHO MTAKATIFU Somo Linaloenda Kukuvusha Hapo ulipokwama kuvuka Hakuna mtu aliyekuja kukutoa hapo lakini Kupitia Neno TU unaenda kuvuka Yordani unaingia kanani. Naitwa Pastor Richard Ni Mwanzilishi wa makanisa ya Huduma Ya Roho Mtakatifu Tanzania (Holy Spirit Ministry Tanzania) Makao makuu Morogoro veta Dakawa Huduma hii inalenga Ukombozi na Mafundisho ya Neno la Mungu Katika uongozi wa ROHO MTAKATIFU yenye kukufungua na Kukuponya katika fikira na mawazo ya elimu ya shetani na kukupa elimu yenye uwezo wa ukiungu ndani Yako katika Kufunguliwa Kutoka kwenye matatizo Len...