Somo;Tunza MUUJIZA WAKO UKISHATOKA KWA Pastor Richard Karibu
.⌚⌚SOMO;JUA NJISI YA KUUTUZA MUUJIZA WAKO UNAPOKUWA UMETOKA KUFUNGULIWA MOROGORO VETA DAKAWA⌚⌚ Imeandaliwa na Pastor Richard 👉🏽👉🏽Lengo: SoMo Hili linamsaidia mtu ajue njisi ya kukaa na kulinda Kile alichokipokea muovu asije Tena kumrudisha kwenye Tatizo au Akaanza Kupitia yaleyale aliyofunguliwa pia inamuongoza hata Yule mtu anayekuwa Ameenda kuupata ukombozi au kufunguliwa mbali mfano. umeenda dar umeenda south umeenda Morogoro Sasa ukisharudi hujui uendelee vipi kutunza ulichokipokea hasahasa MUUJIZA WAKO unajikuta Baada ya muda unaanza Kurudi kule kule matatizo yaleyale yanaanza tena.👉🏽👉🏽👉🏽Karibu katika SoMo Hili Biblia inasema👉🏽 👉🏽Zaburi : Mlango 39 1 Nalisema, Nitazitunza njia zanguNisije nikakosa kwa ulimi wangu;Nitajitia lijamu kinywani,Maadamu mtu mbaya yupo mbele yangu 👉🏽Ԁ...