LAANA NA BARAKA HUKUPATAJE

.    🍇🍇SOMO;✍🏾Laana na Baraka ndani Ya Watoto WA MUNGU🍇🍇🐑🐑

👉🏼👉🏼Miongozo ya Biblia Tusome: Kumb.11;26-27
       mithali.3;33
        Walawi.3;65
        Joshua.8;34
         Yakobo. 3;10

Soma mstari huu👇🏾👇🏾

Wagalatia:3:13
Galatians 3:13

[13]Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us: for it is written, Cursed is every one that hangeth on a tree:

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;

☝🏽☝🏽Ufafanuzi katika mambo haya Mawili⛪⛪

1⃣;-LAANA ni nini?
Laana ni hari inayompata MTU ya kupigana na mfumo au Maisha Yake kujawa na mikosi baraa  magonjwa Mara kwa Mara Dira ya maisha Yake Kuharibika Licha ya kuwa Ameokoka Lakini FURAHA ya kuwa ndani ya Yesu Asiipate.

⛪⛪Mambo Yanayomfanya mtoto WA MUNGU Awe na Laana Au Apandwe kwenye Laana Baadala Ya Baraka.👇🏾👇🏾

1⃣-Kutokutii MUNGU Au Kumuweka mbele.

Hali hii huwa ni hali ya kumtanguliza MUNGU mbele kumtumikia katika nafasi yoyote uguswayo ufanye kwa ajili ya MUNGU.

Wengi huguswa kupeleka Pesa zetu kwenye miugu

2⃣-Mapando ya ukoo  au Kuishi Maisha yasiyokuwa na MUNGU

Haya huwa maisha ambayo unaishi maisha Unampa nafasi ibilisi yanaendeshwa Na Tabia za shetani Tabia za kurithi kutoka kwenye ukoo wenu

Chanili zako au mwelekeo wako licha unamjua MUNGU unaishi maisha na Tabia zinazopandwa na shetani.

3⃣-Laana Huwa zipo za kujinenea/Kunenewa

Hizi huwa ni maneno unayotamkiwa na wazazi ndugu jamaa nk

Yakukufuga usifanikiwe kukufuga usipinge hatua

☝🏽☝🏽Njisi Laana Inavyopandwa ndani yako Kutokana nawe upo unaubipu wokovu Laana hiyo inakupata na sasa upo unayaishi Hayo.

1:Hutaoa/Hutoolewa

MTU akipanda hivyo huuo mmea baadaye hustawi mpaka Aje mtumishi WA MUNGU mwenye power Aug.OE Apande neno utaolewa

2;Umezimba mirija/Huna kizazi/Unakansa/Unah.I.v/Na madeni/Wanaume Mimi hawakai nk

Maneno hayo huwa yanajipanda ndani yako hivyo hivyo kwa baadae chanili zitaenda hivyo hivyo

Na kuna watoto wengine hata ukimfungua Yeye Anarudia kupanda huo mmea unakuja unamfungua unapanda mbegu ya YESU akikaa muda kidogo anaurudishia mmea ule ule

Hali ambayo mpaka Leo watoto waliokombolewa wanatembea katika Laana zingine za kuzilazimisha

Mimi ni mtumwa WA Yesu Ni kinena jambo nag.oa pando LA shetani naweka pando LA Baba Yangu

Nikisema unaenda kuolewa simama na MUNGU au usizini halafu wewe ukavunja nililokuambia ukaanza kwenda kwa waganga au u kazini

Huwezi kuolewa huwezi kutoka hapo kwenye mnyororo huo maana Mimi na panda hivi wewe unakuja unaug.oa mche huo Unapanda yaleyale.

ILi utoke Katika Laana uelewa haya
     1;Mimi nimeokoka yakale yameisha(badilika mawazo yako)
   2;Mchungaji Richard Alipanda neno ngani au maneno ngani uyamwangilie kila siku sio ufikirie huyo mwanadamu LA hasha.

Yesu alisema yeye tutakayempenda akalishika neno langu tutakuja kuketi ndani Yake Yaani MUNGU Baba MUNGU mwana  MUNGU Roho Mtakatifu

Mimi hao watatu ndio wanenao na kuwafungua watu ndio maana kinywa changu ni Moto kimeinuliwa hivyo kukata minyororo nikisema tu uvimbe umekwisha bint simama na MUNGU na kuwa mwaminifu kwake yule MTU analeta USHUHUDA endapo Atatembea hivyo lakini akienda Tofauti hawezi kutoka kwenye vifungo vya Laana kwakuwa hajaumwangilia mmea uliopandwa na mch. Ajafanyia kazi

Wapo watu humu hufuguliwa na kubarikiwa na mafundisho wengine wamefungua makampuni yao kupitia hapa hapa nifundishao kwakuwa huyafanyia kazi wengine na miaka nao mingi sana hata 7 bado wako vilevile kwakuwa huwa si watekelezaji wakuuendeleza mmea kuutuza anaoupanda mch. Richard

☝🏽⛪⛪Baraka Huwa zinakufata Pale tu Unapotunza neno alilotamka mtumishi au Unapoamua kutembea na MUNGU

Torati.11;26

Mfano ya Baraka

Umelia mtoto umejibiwa

Umelia kazi umejibiwa

Umelia Mme/mke umepokea

Maisha yako yamebadilika

Biashara yako imeongeza faida

Umeinuliwa kazini

Afya umepatiwa

Nk

✍🏾✍🏾maombi✍🏾✍🏾

Nag.oa roho za Laana Na panda Baraka ndani yako

Napanda Uvumilivu Na panda amani Na panda Biashara kuinuliwa Na panda uzao Na panda kazi yako Na panda uaminifu WA zaka Na panda Mme/mke mwema Na panda mafanikio Na panda Holy spirit ministry Tanzania Africa nzima duniani kote naitisha mamlaka yote ya kidunia na wakuu WA nchi na mawakala wao lazima wakawe chini yangu Nashika Tanzania yote na mikao Yake wilaya zake ofisi zake ikulu majeshi na nguzo zote matabiko na maagano yaliyokuwa yamefanywa na waazilishi nawaweka chini Natangaza Makuu ya Anga LA Tanzania Africa Duniani America Asia Urusi Korea naingia hizo nchi Na panda holy spirit ministry Tanzania Nakama majeshi yao ikulu yao Mahakama zao Ubishi wao moyo wao Ufahamu wao Aisee naukamata uchumi wao nashika pesa zao nakamata mabenk yao nashika mifuko yao Nalipanda jina LA Pastor Richard naipanda Holy spirit ministry Tanzania Nafungulia wachungaji waaminifu watoto waaminifu nautisha nakuishika utawala wao WA kidunia Naupanda utawala WA kiungu kwa mamlaka ya jina LA Yesu mnazareth kuanzia SAA hii Uchumi WA Africa na nchi zake nauamrisha unifate haya tembea tembea ujeee kwangu nakuita njoo njoooo uchumi WA America Urusi  Asia Korea na mabara saba nasema lazima uchumi u nifate naitishaaa njoo njoooo njoooo katika jina LA Yesu mnazareth

Nawafungulia watu WA maeneo hayo wakaipokeee Holly spirit ministry Tanzania naipanda naipanda nanyamazisha roho ya ugomvi roho za vita Na panda Amani naingia humo naingia nachakaza miroho yote katika jina LA Yesu mnazareth

Kila ofisi lazima itabue uwepo maagano yaliyokuwa Yametabikwa kwenye maofisini hayana Amri juu yangu maana Mimi ni kuhani niliyeshika mamlaka yakifalme katika Roho na kuruu ya mbinguni Kuazia Leo nakama nakushika kwa maana hakuna atakayenipokonya  au kuniondoa maana aliyeniinua Ananguvu nizidi ufalme wowote ule naye Amedhibitisha Agano lake.Amen

☝🏽☝🏽☝🏽Maombi yakumiliki kukamata baraka kwa nguvu ya Roho Mtakatifu☝🏽☝🏽☝🏽

⛪⛪By Pastor Richard

Holy spirit ministry Tanzania

MOROGORO shukia VETA DAKAWA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.