Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari 14, 2020

Somo; Nimechoka

🌳🌳SOMO: Nimechoka Na Matatizo Yasiyoisha🌲🌲Mungu wangu usiniinulie Kisasi mwanao Niokoe Na Mateso haya🌲🌲🌳 Vitabu;Zaburi:6;6 Zaburi:69:3 Yeremia;6;11 Yeremia:45:3 Ayubu;10;1-5 Inafikia hatua Tunapoona Mambo yanazidi kuharibika na kuwa magumu Tunaamua kikri Nimechoka na majaribu haya hata Kama ndio Mungu umeamua kupima Imani yangu sio kila Siku Mimi Tu Nimeomba Sana Lakini Naona Kama Umefumba masikio usinisikie Huwa Tunaenda mbali mpaka Tunaacha kwenda Kanisani nakuwachukia WATUMISHI au Wanaotendewa Kwa Sababu ngani Tumechoka na Teso Hilo. Je Kwani Wewe Ukinuna nakuchukia Usipite kwenye pito Unaweza kumfanya Mungu Akuhurumie asikupitishe kwenye Jaribu linaloenda kukupa sifa ya Kumtengemea Je Ukiacha Kwenda kanisani Nakuomba ndio suruhisho ya Tatizo lako Unakuwà unamkomoa Mungu au mwenyewe Je ukisema Unaanza Kurudi nyuma Unaacha Wokovu harafu mchungaji wako akikuuliza unamdanganya unazani ndio Utavuka...